Free MP3 Download

BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani!

BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani! #1
Click image to play video, right click to save image. (Image via youtube.com)
Music Details
TitleBREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani!
MP3 Size4.05 MB (estimated)
Duration04:03
Views312.3K
Sourceyoutu.be/tX8tyZOCS34
Description

#MODEWJI #MOKUPATIKANA

BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani!

Taarifa zilizotufikia alfajiri ya leo, Oktoba 20, 2018, zinasema kuwa Mfanyabiashara Bilionea Mohamed Dewji maarufu kwa jina la Mo Dewji amepatikana na amerejea nyumbani kwake kuungana na familia yake akiwa salama. Kwa mujibu wa mtandao wa Makampuni ya Mohamed Enterprises ya MeTL Group, Mo amerejea nyumba ikiwa ni siku ya tisa baada ya kutekwa na watu wasiojulikana Alhamis Oktoba 11 katika Hoteli ya Colessium iliyopo Masaki jijini Dar es salaam.

Akitoa taarifa hizo kuptia mtandao wa Twitter unaomilikiwa na Kampuni yake ya Mohamed Enterprises Ltd, Mo ameandika: "Namshukuru Mwenyezi Mungu nimerudi salama nyumbani. Nawashukuru Watanzania wenzangu na watu wote kote duniani kwa dua na sala zao. Nashukuru mamlaka zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, zilizofanya kazi ya kuhakikisha narudi salama.” — Mohammed Dewji na , taarifa ambayo aliipost Saa 9:15 alfajiri, saa za Tanzania.

#MoDewji #MoDewjiApatikana

Global TV Online: [[link stripped - click to show]]
Watch More Videos here: [[link stripped]]
Watch More Videos here: [[link stripped]]
Website: www.globalpublishers.co.tz

FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers
Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari
Install Global App: ANDROID: [[link stripped]]
Install Global App: iOS: [[link stripped]]

CopyrightAll materials' copyright are belong to their respective owners and/or uploader. This video was uploaded by Global TV Online
LicenseLicensed under YouTube Standard License
Download as MP3
Download as MP4
Alternative
TagsBREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani!, Download BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani!, Download Video BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani!, Download MP3 BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani!, Download BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani! episode terbaru, BREAKING: MO Dewji asimulia alivyotekwa, kufichwa, kujikuta chumbani! terbaru