Free MP3 Download

HIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-0 MBEYA CITY (TPL 27/08/2018)

HIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-0 MBEYA CITY (TPL 27/08/2018) #1
Click image to play video, right click to save image. (Image via youtube.com)
Music Details
TitleHIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-0 MBEYA CITY (TPL 27/08/2018)
MP3 Size18.87 MB (estimated)
Duration18:52
Views248.1K
Sourceyoutu.be/9WOcxxuI4hY
Description

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC leo wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa raundi ya pili ya ligi hiyo uliopigwa kwenye Dimba la Taifa Dar es salaam.

Mabao yote ya Simba yametiwa kimiani na mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Meddie Kagere kwa kichwa kunako kipindi cha kwanza, akianza la kwanza dakika ya 12 ya mchezo na la pili dakika ya 45+4.

Simba ilitawala mchezo wa kiasi kikubwa licha ya Mbeya City pia kujaribu kutengeneza nafasi kadhaa lakini ikashindwa kuzitumia.
Tazama Highlights hapa

CopyrightAll materials' copyright are belong to their respective owners and/or uploader. This video was uploaded by Azam TV
LicenseLicensed under YouTube Standard License
Download as MP3
Download as MP4
Alternative
TagsHIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-0 MBEYA CITY (TPL 27/08/2018), Download HIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-0 MBEYA CITY (TPL 27/08/2018), Download Video HIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-0 MBEYA CITY (TPL 27/08/2018), Download MP3 HIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-0 MBEYA CITY (TPL 27/08/2018), Download HIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-0 MBEYA CITY (TPL 27/08/2018) episode terbaru, HIGHLIGHTS: SIMBA SC 2-0 MBEYA CITY (TPL 27/08/2018) terbaru